Gharama za BongoNova kwa Siku ni Tsh 2,000
Gharama za BongoNova kwa Wiki ni Tsh 5,000
Gharama za BongoNova kwa Mwezi ni Tsh 10,000 (Kifurushi cha Wiki au Mwezi kitakuwezesha Ku-Download na kutazama bila Internet moja kwa moja kwenye Simu yako!)
JINSI YA KULIPA/KUONGEZA SALIO LAKO LA XTREEMPAY (WALLET):
•MIXX BY YAS: #5.Lipa kwa simu -> #2.TANQR -> Lipa namba ni 19918456
•MPESA: #1.Tuma Pesa -> #4.Mitandao Mingine -> #2.Mixx By Yas -> Namba ya Simu weka 19918456
•AIRTEL MONEY: #5.Lipia Bili -> #1.Lipa Kwa Simu -> 1.TANQR(TIPS) -> Lipa Namba weka 19918456
•HALOPESA: #5.Lipia Bidhaa -> #1.TANQR -> Lipa namba ni 19918456
19918456(Lipa Namba)
Baada ya sekunde chache Utapokea SMS inayoonesha Salio jipya la Wallet yako ya Xtreem Pay pamoja na Paypin. Ingiza NAMBA YA SIMU ULIYOFANYIA MALIPO pamoja na PAYPIN uliyotumiwa, kwenye form hapo juu kisha bonyeza WATCH. Hakikisha kiasi ulicho tuma ni 2000 au 5000 au 10000. Kama umetuma pesa na haujapokea SMS ya Paypin kwa zaidi ya dakika 5, inaweza ikawa ni shida ya mtandao hivyo jaribu kuandika na kutuma neno 'Paypin' kwenda 0620216969 kwa SMS / WhatsApp ukitumia namba uliyofanyia Malipo, tutakutumia hapohapo kwa mara nyingine tena.
Endapo ulikua tayari una salio kwenye Wallet yako ya Xtreem Pay :
Lipa kifurushi cha Wiki au Mwezi, Kwa kuandika 'Lipa Bongonova Siku' au 'Lipa Bongonova Wiki' au 'Lipa Bongonova Mwezi' kwa SMS/WHATSAPP kwenda namba ya XtreemPay '0620216969' ukitumia namba yako yenye Salio la XtreemPay. Utapokea Ujumbe wenye Paypin hapohapo baada ya kutuma, kisha utaitumia Paypin hiyo kwenye form hapo juu.